Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Biashara gani halali inaweza tengeneza faida ya kuanzia laki tatu kwa Siku?

Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye
Ila mjomba we kweli mbishi manundu, hv uzoefu anaupata wapi km hyo biashara haifanyi!? Unamwambia " apate experience ndyo afanye" how!?
 
Nenda kwa edo namanga pale anauza chips na kuku wa kipemba,muulize kwa siku unapiga ngap faida,akikwambia chin ya lak3 njoo nakuozesha dada angu,..jamaa anapiga had lak5 kwa siku,au nenda njia ya kawe kulee mbele kwa vibopa kuna wapemba flan barabaran wanauza chips na kuku,wale jamaa niliongea nao wanapiga had lak7 faida,
 
Ila mjomba we kweli mbishi manundu, hv uzoefu anaupata wapi km hyo biashara haifanyi!? Unamwambia " apate experience ndyo afanye" how!?
Nilimaanisha asiweke pesa nying hvo,aanze kidogo apate uzoefu wa biashara,sio aweke hzo mil12 zake,ztaenda na maj,..aanze na lak5 tu pia atafte mentor,vijana biashara,si kukurupuka,hata kama una mil100,itaisha in a minute
 
sawa nimekupata mimi ushauri wangu umeuona sijui wewe ni mkristo au mwislamu ila biashara ya kitimoto kwa mikoa ya kaskazini inalipa sana.na kitimoto hawana magonjwa mengi na ni rahisi kuwafuga ili mradi usianze kufuga kwa pupa kwani wanazaliana sana
Mkuu saluni mbili zote kwa pamoja nachukua laki na 60 kwa wiki.Kiduka ndio kinaniletea hiyo faida 30/40 sema pesa ya saluni huwa siitumii kwa shughuri yeyote hii baada yakuiweka ndio imeleta hio pesa 9/12M.Kiduka nakitumia kuendeshea maisha yangu nandio kinatengeneza hiyo pesa 30/40 per day.
 
Nilimaanisha asiweke pesa nying hvo,aanze kidogo apate uzoefu wa biashara,sio aweke hzo mil12 zake,ztaenda na maj,..aanze na lak5 tu pia atafte mentor,vijana biashara,si kukurupuka,hata kama una mil100,itaisha in a minute
Yaani elfu kumi ziwe 70 kwa siku, Aisee watu wako Makini Balaa si mchezo
 
Nenda kwa edo pale namanga anauza chips na kuku,muulize kwa siku faida sh ngap halaf uje hapa..jamaa anapiga had lak5.
siwezi kukataa biashara ina mambo mengi ya kuangalia labda ana wateja wengi sana na labda kwa siku anamenya viazi gunia 50 na mayai tray 1000 .pia time consuming inawezekana kabisa inategemea hukaa kwenye biashara yake kwa muda gani kwa siku. je ana wafanyakazi? analipa kodi ya serikali? eneo analofanyia biashara ni property yake au ya kukodi? unaweza kukuta anapata hata milioni kwa siku lakini netprofit ni laki 1 au elfu 50
 
We mbishi sasa,..nenda kaongee nae atakupa majib yote
 
1. VIFAA YA PIKIPIKI, ILA MKOANI, PALIPOCHANGAMKA
2. MSOSI (MGAHAWA) KATKA MJI MKUBWA

NB: KWANIN UMEKATAA KILIMO MKUU! MANA HATA UNUNUAJI WA MAZAO NA KUUZA, INALIPA PIA
 
1. VIFAA YA PIKIPIKI, ILA MKOANI, PALIPOCHANGAMKA
2. MSOSI (MGAHAWA) KATKA MJI MKUBWA

NB: KWANIN UMEKATAA KILIMO MKUU! MANA HATA UNUNUAJI WA MAZAO NA KUUZA, INALIPA PIA
Ww hiyo ya kuuza mazao unaifanya ama
 
Back
Top Bottom