iphoneX
Senior Member
- Dec 12, 2017
- 193
- 173
Ila mjomba we kweli mbishi manundu, hv uzoefu anaupata wapi km hyo biashara haifanyi!? Unamwambia " apate experience ndyo afanye" how!?Usimdanganye mwenzio wew,...akapoteza hela yake,we unaonekana biashara ya madin huijui na unaiskia tuu kwa stor za watu...mi nmefanya hii baishara kwa mda mref,kama mtu ni mpya kabsa kwenye biashara hii,had uje ukae sawa huo mtaj wa mil5-10 ushapotea,hii biashara inahtaj experienc ya hal ya juu,ni wazoef tuu ndio wanatoboa hii kitu,sasa mwenzio hajui chochote kuhusu hii kitu af aweke pesa hapo,mshaur kitu kingne ila sio madin,had apate experience ndo afanye