kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Great thinkerz, naomba mawazo yenu, ni bíashara gn hapa dar ya kuuza bidhaa au ya kutoa huduma ambayo haitaji mtaji mkubwa lakini mtu akiifanya kwa maarifa na ustadi mkubwa inaweza mlipa pesa nyingi? Plz naomba mawazo yenu wadau!
JF ishakuwa Genge la Wahuni waliopigwa na Maisha... si Uwanja wa Ushauri tenaaa... Ptuuh