kimbisi mbisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 508
- 132
Mkuu fanya biashara au huduma kati hizi utatoka, achana na wanaokukatisha tamaa mosi biashara ya mkaa unaanza hata kwa kupima kwenye makopo, pili kuendesha bodaboda, tatu kama huna mtaji kabisa waweza kuomba utingo kwenye magari ukakusanya nguvu na mtaji ,nne uza vitu vidogo vidogo e.g pipi, sigara, vocha, maji n.k, tano uza matunda, sita mtaji ukikuwa nunua mashine ya juice ya miwa ,uza hiyo juice inalipa saana n.k,n.k.