Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Biashara yoyote inatoka inategemea wewe umejipanga kufanya nini? kushauriwa biashara ya kufanya ina maana Unataka kufanya biashara za watu? Chamuhimu uwe na wazo kisha Ulilete tukupe maboresho na udhaifu kisha utapata kitu.
 
Biashara ya siasa haswa uwe mbunge au ďiwani wa upinzani kisha uuzē nafasi yako kwa kuunga mkono juhudi za sūltan
 
Biashara nzuri kipindi hiki ni kuuza papuchi
 
Biashara ya bar mzee.....wape masikini kilevi wasahau shida zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…