Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Biashara Gani hasa kipindi hiki cha awamu ya 5 inafaa

Biashara yoyote inatoka inategemea wewe umejipanga kufanya nini? kushauriwa biashara ya kufanya ina maana Unataka kufanya biashara za watu? Chamuhimu uwe na wazo kisha Ulilete tukupe maboresho na udhaifu kisha utapata kitu.
 
Biashara ya siasa haswa uwe mbunge au ďiwani wa upinzani kisha uuzē nafasi yako kwa kuunga mkono juhudi za sūltan
 
Wa ndugu Twende kwenye mada, kipindi hiki cha awamu ya 5 ni biashara Ipi imechangamka,? Mtu unaweza unafanya bila Mawazo? 😔
Sio mbaya tukipeana ukweli wa jambo hili mtu ukajua PA kuanzia.
Maana kila Kona waambiwa biashara hamna na maduka yanafungwa,
Hii Hali itakuwaa hivi hadi lini?
Biashara nzuri kipindi hiki ni kuuza papuchi
 
Back
Top Bottom