Hujamuelewa, anachomaanisha nilichukua uwakala wa kukata ticket za mabasi yaendayo mikoani.. ukiwa wakala kunapercent unapata. But itategemea na wingi wa ticket.. ndio maana kakwambia wateja kumikwa uelewa wa haraka juu ya biashara jibu lake la namba tano i dont think so wateja kumi kwa ubungo ambao wanalipa miambili thats uongo couse wao wanaingiza elfu mbili how came upewe 20000 au nimesoma vibaya hizo amount
NiceKuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo
- Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
- Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
- Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
- Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
- Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
- Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
- Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
- n.k.
Point...lazma mtu ule chakula na kama huna uko radhi ukakope ununue.Kila biashara inalipa ndo sababu unaona watu wanazifanya. Ila jinsi gani itakupa faida kubwa hutegemea na mtaji wako na pia aina ya biashara pamoja na soko. Kwa hali ya uchumi sasa sikushauri ufanye biashara yeyote tofauti na biashara ya nafaka. Hii ndo pekee iliyo na uhakika wa kufanya vizuri.
Nimeipenda hiyo ya mayai... Ebu nijipange...Kuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo
- Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
- Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
- Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
- Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
- Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
- Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
- Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
- n.k.
Mkuu unaifanya hii?mkuu biashara ya phamacy ukipata sehemu kama ilipo nakiete yaani faida ni 100% sema leseni zake ni ngumu kupatikana pia mtaji kwa sehemu kubwa ni ngumu kupata
pia kuna vitu vingi ikiwemo kumuajiri nesi mwenye ujuzi(wako wengi mtaani),frame iwe kubwa kiasi,pia A.c si unajia joto na dawa hazipatani
lakini pia mtaji inategemea na kiasi unachotaka kuanza nacho cha dawa
faida ni 100%
enhance njoo huku
watakaohitaji niwaunge kwenye group la wafanyabiashara tz wanicheki 0759500807Habari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
Nzuri sasaKuhusu biashara gani inayoingiziza hiyo faida au zaidi kwa siku ni swali pana sana (too general). Inategemea una mtaji kiasi gani, na moyoni mwako unapenda biashara za aina gani. Baadhi ya biashara kwa upana wake na faida kwa siku ni kama ifuatavyo
- Nunua dala dala ndogo (Hiace au Nissan Carravan) kwa milioni 20. Kila siku itakuwa inalaza 35,000/=
- Nunua Yutong bus kwa around 100 milion peleka Arusha. Kila siku italaza around 500,000/
- Nunua Scania Semi trailer kwa 90 milioni, Peleka mizigo Zambia, Congo, Malawi, au kubeba containers bandarini. Utalaza wastani wa 200,000/ kwa siku
- Nunua mayai kitunda kwa tsh 5500 trei jitume kutafuta wauza chipsi walau kumi watakaonunua trei tatu kila mmoja kwa siku wauzie kwa tsh 6500, utalaza walau 25,000/ kwa siku kama faida
- Jiunge kukatisha tiketi Ubungo terminal, ukipata wateja 10 kwa siku utapata 20,000
- Nunua Suzuki Carry kwa 7 milion kabebe miziko masokoni, utapata 40,000 kwa siku
- Anzisha M pesa sehemu yenye mzunguko wa watu wa wastani, utapata 30,000/ kwa siku
- n.k.
Quran tukufu hairuhusukiti moto na bia kama utapata location nzuri
Biashara siku zote hutegemea kiasi cha mtaji, location , mahitaji/demand, na wakati mwingine huwa inategemea na msimu(mf. Kipindi cha masika huwezi ukauza ice cream) . Vyote hivyo lazima uvizingatie kabla ya kuanzisha biashara yoyote, taja mtaji,eneo ulipo nk watu wakushauri kulingana na hali yakoHabari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????
Fungua duka la mahitaji muhimu kama unga,mchele,maharage,mafuta n.k (fikiria vitu ambavyo kila siku lazima vinunuliwe,viweke dukani) utapata zaidi ya hiyo 20000 kwa siku kutegemeana na wingi wa watejaHabari wana JF,ningependa ku share ideas na watu wenye uzoefu na biashara, katika biashara kikubwa kinachoangaliwa ni faida , kwa watu wenye uzoefu na biashara mbali mbali nilikua naomba kuuliza biashara gani ya mtaji wa chini inayoingiza faida ya tsh 20,000 na kuendelea kwa siku??????