Kila biashara inafaa au haifai kulinganisha na eneo; demand ya hicho kitu; na supply ya hicho kitu.., na mtu husika
Mfano huenda kama ninauza barafu (ice) nikapata demand na faida sana nikiwa Jangwani ila nisiuze kitu nikiwa North Pole..; Huenda mimi na wewe tukawa na bidhaa sawa ila wewe sababu ni salesperson mzuri ukauza kila kitu kwa bei ya juu na mimi sababu my attitude stinks niziuze kitu..
In short angalia mtaji (pesa uliyonayo) angalia mahitaji husika alafu angalia kama unaweza ukapata hayo mahitaji ya kuwapa hao watu kwa bei ndogo kuliko utakavyouza, Kama utapata mahitaji A, B, C angalia kati ya hayo ni lipi linaingiza faida kubwa kwa muda mfupi na kwa gharama ndogo na wewe unaweza kulifanya