Biashara gani inafaa?

Biashara gani inafaa?

Mimi alone

Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
36
Reaction score
3
Biashara gani ni nzuri kufanya?Na sehemu gani wanatoa mikopo midogo midogo ya biashara na masharti yake ni yapi.naombeni ufafanuzi
 
Nenda Jukwaa la uchumi utapata msaada!
 
mkuu unataka kuomba mkopo au unataka ushauri wa biashara?
 
Kila biashara inafaa au haifai kulinganisha na eneo; demand ya hicho kitu; na supply ya hicho kitu.., na mtu husika

Mfano huenda kama ninauza barafu (ice) nikapata demand na faida sana nikiwa Jangwani ila nisiuze kitu nikiwa North Pole..; Huenda mimi na wewe tukawa na bidhaa sawa ila wewe sababu ni salesperson mzuri ukauza kila kitu kwa bei ya juu na mimi sababu my attitude stinks niziuze kitu..

In short angalia mtaji (pesa uliyonayo) angalia mahitaji husika alafu angalia kama unaweza ukapata hayo mahitaji ya kuwapa hao watu kwa bei ndogo kuliko utakavyouza, Kama utapata mahitaji A, B, C angalia kati ya hayo ni lipi linaingiza faida kubwa kwa muda mfupi na kwa gharama ndogo na wewe unaweza kulifanya
 
Back
Top Bottom