Biashara gani inalipa Kariakoo: Simu na vifaa vyake, Spare za simu au vifaa vya umeme majumbani?

Biashara gani inalipa Kariakoo: Simu na vifaa vyake, Spare za simu au vifaa vya umeme majumbani?

mzeemzima

Senior Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
123
Reaction score
78
Wadau ,

Nimepata fremu maeneo ya kariakoo katika eneo ambalo ni la vitu vya electronics. Sasa niko katika utafiti kujua kipi kinafaa Zaidi kwa biashara kati ya vitu vifuatavyo;

a. Biashara ya kuuza TV, radio na friji kwa wakati mmoja au

b. Biashara ya kuuza simu na vifaa vyake(phone accessories)

c. Biashara ya kuuza spare za simu .


Naomba kwa wale wadau wenye uzoefu na biashara hii , pia kama wanaweza wakanishauri , chochote kile ambacho kinaweza kikaongeza mafanikio katika hili pia nitashukuru.

Asante sana
 
Accessories za simu inalipa inategemeana na location ya hyo fremu na mtaji
 
Biashara ya kuuza simu na vifaa vyake inalipa ukiwa tayari nitafute....
 
Hili ni tatizo kwa wengi. Akiona frem anakimbilia. Katika biashara Kwanza inaanza idea, unafanya upembuzi wa gharama na mapato ndio unatafuta frem. Kuna mtu alipoteza 50 mil kwa mambo Kama hayo.
 
Back
Top Bottom