Biashara gani inamfaa mwanachuo?

Biashara gani inamfaa mwanachuo?

Asante sana mkuu. Hiyo ya simu naona kama anaweza kufanya. Hizo simu anazipata wapi? Msaada plz
Sasa kwa mtaji huo aongeze . Nyingi wanazitoa Dubai, atafute connection ya kuagiza na mtu yani aunge kwa anayeagiza. Akitoa kama 3M akapata simu 10-15 hivi si anauzia ndani
 
Dogo ameona mbali sana kongole kwako huu si wakati wa kutegemea elimu tena

Haina manufaa

Kama unasoma ondoa mentality ya kuajiriwa soma kwa faida yako au kamilisha ratiba
 
Ahh umenikumbusha enzi zangu za hustle ya chuo. Nilifanya biashara kadhaa ikiwemo
  • Kufundisha tuition
  • Kuuza tshirt
  • Kufundisha katika magroup ya Whatsapp ya elimu ya urembo, lishe bora na biashara
  • Ushauri wa kupanga sherehe
  • Kuuza electronics online

Na nyinginezo mbalimbali

Ila kitu cha kuzingatia ni kuwa uwezekano mkubwa kama biashara itakuwa haraka, itabidi uchague kati ya biashara au masomo. Hilo ndio inabidi kujiandaa nalo especially kama ni mtoto wa kiume (wanaume wapo more likely kuacha chuo kwa ajili ya biashara kwa tathmini yangu. Wanawake wanaweza kumultitask kirahisi zaidi).
 
Dogo ni wakike au wakiume?
Kama ni wakike kwa mtaji huo online business itamfaa sana japo sidhani kama mtaji utatosha.
 
Ahh umenikumbusha enzi zangu za hustle ya chuo. Nilifanya biashara kadhaa ikiwemo
  • Kufundisha tuition
  • Kuuza tshirt
  • Kufundisha katika magroup ya Whatsapp ya elimu ya urembo, lishe bora na biashara
  • Ushauri wa kupanga sherehe
  • Kuuza electronics online

Na nyinginezo mbalimbali

Ila kitu cha kuzingatia ni kuwa uwezekano mkubwa kama biashara itakuwa haraka, itabidi uchague kati ya biashara au masomo. Hilo ndio inabidi kujiandaa nalo especially kama ni mtoto wa kiume (wanaume wapo more likely kuacha chuo kwa ajili ya biashara kwa tathmini yangu. Wanawake wanaweza kumultitask kirahisi zaidi).
Hapo kwenye wanawake wanaweza kumultitask kirahisi zaidi nitakupinga kidogo, personally naweza kudeal na kumanage mambo mengi kwa wakati huouho, pia hapohapo naweza kumanage wanawake 3 simultaneously na hakuna anayeshtuka naamini hii ni kwa wanaume wengi sio mimi tu.

Mwanaume ndio amejenga asilimia 99% ya dunia hii kama angekuwa hawezi multitasking basi dunia ingebaki enzi za mawe.
 
Muda umeenda kwani angeenda pale Sido kuhudhuria ktk Training ya siku 5 iliyoisha mwezi ya saba angetoka na kitu kama kutengeneza Keki, Mikate, Galiki, Pilipili, Tomatososi, Pinatbata, Juice, Wine yaani iliyokuwa inahusu usindikaji.
Kwa ushauri wangu mnunulie Friza mpya na Brenda na vifaa vinavyofaa kwa utengenezaji wa Juice atapata mwanzo mzuri pia ikiwezekana aende pale Sido anaweza kupata cha kufanya zaidi.
 
Wale tuliokula boom zote tusome comment taratibu tupite hivi🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Hapo kwenye wanawake wanaweza kumultitask kirahisi zaidi nitakupinga kidogo, personally naweza kudeal na kumanage mambo mengi kwa wakati huouho, pia hapohapo naweza kumanage wanawake 3 simultaneously na hakuna anayeshtuka naamini hii ni kwa wanaume wengi sio mimi tu.

Mwanaume ndio amejenga asilimia 99% ya dunia hii kama angekuwa hawezi multitasking basi dunia ingebaki enzi za mawe.
Hamna neno mkuu ni mtazamo tu kwa experience yangu ya vijana wa kike na wa kiume walioanzisha biashara zikafanikiwa wakiwa chuo. Wavulana wengi walidrop out (ikiwemo mimi) na wasichana walimaliza na biashara zao. Ila kila mtu anaweza kuwa tofauti bila neno.
 
Daah nashangaa sana

Lile limeandikwa meals and accomodations

Sijaona wameandika business capital
Mi nilishasema boom nitalitumbua na kitaa nitapambana nacho tu kwa nini nijiminye
😂😂😂meals and accomodation unaifanyia mtaji
 
Back
Top Bottom