kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,872
haahaha mwanangu acha utani nipo serious.Same labda biashara ya Vinyago tu í ½í¸í ½í¸í ½í¸ maana kukaribishwa tu kuna sanamu ya Faru Rajabu
😄😄😄😄😄 hahah haina noma man watakuja wadau kukupa ramani. Mi niko Panapofuka Moshi hapahaahaha mwanangu acha utani nipo serious.
au sio, duka la kawaida sindio la vyakulaWeka duka la vyakula.
Maeneo gani hapo npo mwanga hapa natokea pande hzoí ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸í ½í¸ hahah haina noma man watakuja wadau kukupa ramani. Mi niko Panapofuka Moshi hapa
Same naifahamu.au sio, duka la kawaida sindio la vyakula
hahaa ni ihangajiko iloSame naifahamu.
We kuwa na duka ambalo lina kila kitu.
Kuanzia vyakula.
Nguo.
Mpaka mabati, misumari, viatu.
Yani kila kitu.
Ila hujasema tu mtaji wako.
Mira nawe ni mpare kana u Shuve ya nyika?
Mimi ni mpare ndio, mtaji wangu ni mdogo sana, nataka kuanzia chiniSame naifahamu.
We kuwa na duka ambalo lina kila kitu.
Kuanzia vyakula.
Nguo.
Mpaka mabati, misumari, viatu.
Yani kila kitu.
Ila hujasema tu mtaji wako.
Mira nawe ni mpare kana u Shuve ya nyika?