Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

Nataka biashara ya kufanya kwa 1mil to 2mil

Fanya biashara ya kusupply products zinazohitajika katika mini supermarkets mbalimbali katika eneo ulipo, mfano mchele, unga, sukari, bites, maji, juice, cakes, na vinginevyo.
 
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna

Mkuu ndo Wabongo tulivyo, Juzi ilizungumza ishu moja kwamb kuna Jirani zetu hua wanapitia humu na kutuona tulivyo weupe, Na tusivyo kuwa siriasi,

Ni kweli si lazim kilamweny pesa fanye biashara, hapo ndo tunapo kosa kwambaukiwa na pesa tu basi jaibu biashara, Nata nchi kama India yenye high rate ya Entreprenership spirit still kuna wafnya kazi na wasaka kazi wengi sana,

Mafanikio yako katika safari Ya biashara huanza na wazo la Biashara, Kama hata wazo mtu hawei tumia akili zake n jitihada kusoma wakati tuliopo na kuibuka na wazo, Usitarajie miujiza kwenye biashara yako,

Safari ya Ujasirimali ni Ngumu sana kuliko safari ya Kitu chochote kile, na dhat is why kuna watu tunawaona wamefika mahali wamegota hawaendi mbele wala hwaludi nyuma,
 
ndugu upo mkoa gan il tujue kuna fursa zip.kama upo sehem ina misitu reply nikupe biashara utayofanya kwa miez minne na kumilik karibu 30 mil.
 
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna

Perronal Initiative nayozungumzia ni ipi?, hata hii ya kuuliza huku na kusaidika ni personal initiative?

So far si kuwa hana wazo, kimsingi wazo analo ila anataka kuliboresha, jitambue ndugu, usikurupuke na kurusha lawama na kukatisha tamaa! jifunze kutambua na kuthamini mahitaji ya wengine!
 
I would like to know what are your dreams first, with your dreams am gonna disclose my busines plan and leave you to decide if its consistent with your dreams. Bt you can pm for a brief talk and see how best i can help or you can reach me directly through 0752720276. Thanks.
 
Ajaribu juice na maji kwa jumla jumla na reja reja....atakuza mtaji kufikia anapotaka..tena aweke kwenye toroli...
 
Get rich quick scheme,,unaweza kulambwa pesa zako zote hapa muulize yeye ana sh ngapi?

ndugu upo mkoa gan il tujue kuna fursa zip.kama upo sehem ina misitu reply nikupe biashara utayofanya kwa miez minne na kumilik karibu 30 mil.
 
m pesa na tigo pesa .wekeza 1ml kwa kila moja
 
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna

Sasa wewe ndio hufai. Hata kuuliza pia ni njia nzuri, kwani hakuna biashara bila research, acha kuvunja moyo watu, huyu huy anaweza kuja kujiajiri na hata kufanikiwa na kuja kuwaajiri ndugu zako na hata watoto wako, mawazo ni bure tu, kama huna la kumsaidia ni bora kukaa kimya kuliko kuongea maneno yanayokufanya uonekane mpumbavu.
 
Duuh watanzania hawataki kuambiwa ukweli..kama vipi kaa humo na wewe sijui una milion ngapi za fasta hivi..ndugu nikupe pole..kwanza..mambo ya kuajiriwa sina hizo habari ndugu...over...facts zina ukweli kama hauna wazo tayari umeshafeli..hahahahahaha
 
Wazo zuri pia, ila angejaribu tutanabaisha sehemu aliyopop ili kujua Opportunities na threats za eneo hilo!

Jamani mimi nina Milion Moja ya kuanzia ila kama baada ya Mwezi tena naweza pata 2 milion ninataka kufanya biashara nia ninayo nina mawazo mengi hasa la Tigo pesa na chakula
Utata kwenye Tigo pesa and the like ni hiliswala ya hela bandia ninalikabili vipi...naona risk yake ipo juu sana msaada jamani
Machine zake ni bei sana za kukangua pesa kwa haka ka milion kangu
 
Back
Top Bottom