Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

Biashara Gani kwa sasa inafaa na haka ka Mtaji kangu ka 1mil to 2mil tafadhari msaada

Jamani mimi nina Milion Moja ya kuanzia ila kama baada ya Mwezi tena naweza pata 2 milion ninataka kufanya biashara nia ninayo nina mawazo mengi hasa la Tigo pesa na chakula
Utata kwenye Tigo pesa and the like ni hiliswala ya hela bandia ninalikabili vipi...naona risk yake ipo juu sana msaada jamani
Machine zake ni bei sana za kukangua pesa kwa haka ka milion kangu

Ndugu yangu swala la machine nadhan sio kigezo, umesha amua fanya biashara fanya kwasababu biashara lazima hela ihusike moja kwa moja.. tambua waweza kujua fedha bandia hata bila machine. Chukua hatua mapema

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Ndugu kasweet,
nami pia nimawazo ya kuazisha biashara ili niweze kujikwamua. Tayari nimebuni biashara na mchanganuo wangu unahitaji mtaji usiopungua mil 2, kinachonikwamisha kwasasa nina mil 1 pekee. Kama ukotayari tunaweza kuwa washirika kwa kuunganisha mitaji na kufanya biashara pamoja. Kama unaafiki tafadhari tuwasiliane kwa ufafanuzi zaidi
 
unaweza ukapewa wazo la biashara afu ikaja kufa mbeleni ukasema watu wamekuangusha.
 
Mkuu ndo Wabongo tulivyo, Juzi ilizungumza ishu moja kwamb kuna Jirani zetu hua wanapitia humu na kutuona tulivyo weupe, Na tusivyo kuwa siriasi,

Ni kweli si lazim kilamweny pesa fanye biashara, hapo ndo tunapo kosa kwambaukiwa na pesa tu basi jaibu biashara, Nata nchi kama India yenye high rate ya Entreprenership spirit still kuna wafnya kazi na wasaka kazi wengi sana,

Mafanikio yako katika safari Ya biashara huanza na wazo la Biashara, Kama hata wazo mtu hawei tumia akili zake n jitihada kusoma wakati tuliopo na kuibuka na wazo, Usitarajie miujiza kwenye biashara yako,

Safari ya Ujasirimali ni Ngumu sana kuliko safari ya Kitu chochote kile, na dhat is why kuna watu tunawaona wamefika mahali wamegota hawaendi mbele wala hwaludi nyuma,



Mkuu hapo kwenye nyekundu nimekusoma. Mtu hawezi kujua maana yake mpaka aanze biashara ndio ataelewa unachozungumza hapa....
 
achana na tigo pesa, fanya biashara ya chakula, inahela sana,
 
Jitahidi kipindi hiki cha msimu wa mazao ununue hususan huku bara, ni msimu wa mavuno hasa mpunga.

Mazao ya nafaka yatakutoa fasta na mtaji kukua haraka mno, ila uwe na mahala kuhifadhia tu.
 
Back
Top Bottom