Nataka biashara ya kufanya kwa 1mil to 2mil
Nataka biashara ya kufanya kwa 1mil to 2mil
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna
mwambie hapa hapa na wengine wafaidike. Huko chemba kuna nini?Ni pm nikupe biashara nzuri.
Si ndo hapomwambie hapa hapa na wengine wafaidike. Huko chemba kuna nini?
anataka kwenda ku-mkaba huko gizani.mwambie hapa hapa na wengine wafaidike. Huko chemba kuna nini?
ndugu upo mkoa gan il tujue kuna fursa zip.kama upo sehem ina misitu reply nikupe biashara utayofanya kwa miez minne na kumilik karibu 30 mil.
Kama hauna wazo kichwani bora usifanye kitu jombaa...kusucceed kwenye business ni personal initiative it comes from within sio kwa kuambiwa na principle ya kwanza ni kuwa na wazo ambalo huna
m pesa na tigo pesa .wekeza 1ml kwa kila moja
Duuh watanzania hawataki kuambiwa ukweli..kama vipi kaa humo na wewe sijui una milion ngapi za fasta hivi..ndugu nikupe pole..kwanza..mambo ya kuajiriwa sina hizo habari ndugu...over...facts zina ukweli kama hauna wazo tayari umeshafeli..hahahahahahaSasa wewe ndio hufai. Hata kuuliza pia ni njia nzuri, kwani hakuna biashara bila research, acha kuvunja moyo watu, huyu huy anaweza kuja kujiajiri na hata kufanikiwa na kuja kuwaajiri ndugu zako na hata watoto wako, mawazo ni bure tu, kama huna la kumsaidia ni bora kukaa kimya kuliko kuongea maneno yanayokufanya uonekane mpumbavu.
wEWE NI TAPELI LAIVU BILA CHENGA, HATA 1M UNATAKA KUMTAPELI? KUWA NA HURUMA BRO!!. KAMA SIO TAPELI WEKA HAPA HIYO BIASHARA.Ni pm nikupe biashara nzuri.
Wazo zuri pia, ila angejaribu tutanabaisha sehemu aliyopop ili kujua Opportunities na threats za eneo hilo!