dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,456
- 1,672
Jamani mimi nina Milion Moja ya kuanzia ila kama baada ya Mwezi tena naweza pata 2 milion ninataka kufanya biashara nia ninayo nina mawazo mengi hasa la Tigo pesa na chakula
Utata kwenye Tigo pesa and the like ni hiliswala ya hela bandia ninalikabili vipi...naona risk yake ipo juu sana msaada jamani
Machine zake ni bei sana za kukangua pesa kwa haka ka milion kangu
Ndugu yangu swala la machine nadhan sio kigezo, umesha amua fanya biashara fanya kwasababu biashara lazima hela ihusike moja kwa moja.. tambua waweza kujua fedha bandia hata bila machine. Chukua hatua mapema
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums