Biashara gani naweza kufanya kwa Milioni 10-18? Msaada Please

Mm Nina kiwanda changu cha ninatafuta mwekezaji million 10-20 ambapo unapata faida sh ml2-3 kwa mwezi unaweza kuwasiliana na Mimi kupitia 0675226757
Luna viwanda vyaaina nyingi ndugu Funguka ili ushawishi watu
 
Nunua mashine ndogo za kukamua mafuta ya nazi,uwe umapack kwenye vichupa vidogo,coconut virgin oil iko in high demand kwa matumizi ya kupaka,hasa watoto.
Mashine ndogo ya kukamua mafuta utaipata kwa pesa si zaidi ya milion 4.

Au nunua machine ndogo ya kukamua alzeti uingie kwenye uzalishaji badala ya kufanya uchuuzi
 
Mkuu mashine hizo zinapatikanaje?? otherwise ushauri wako mzuri..
 
Mkuu mashine hizo zinapatikanaje?? otherwise ushauri wako mzuri..
angalia hiyo link hapo juu,utaona machine za viwango tofauti tofauti,kama unaona shida kuagiza china,hiyo bei ya milioni 4 ni kwa machine zinazopatikana kenya,nairobi ukitaka adress,namba ya simu naweza kukutafutia
 
Mrejesho

Wana jf asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa kutafuta mwekezaji wa kiwandani kwangu. nimeshapata partner mwenzangu wa kushirikiana nae kwahio mjadala wa hio partnership umefungwa.Ahsanteni sana
 
Nina kiwanda changu tanga ambacho ninatafuta mwekezaji ambae atatoa ml 10-20 ambapo atapata faida kwa mwezi ml2-3
Mrejesho

Wana jf asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa kutafuta mwekezaji wa kiwandani kwangu. nimeshapata partner mwenzangu wa kushirikiana nae kwahio mjadala wa hio partnership umefungwa.Ahsanteni sana
 
Mkuu Naomba unitengenezee...naona inaniingia akilini hii
 
Mrejesho

Wana jf asanteni sana kwa ushirikiano wenu wa kutafuta mwekezaji wa kiwandani kwangu. nimeshapata partner mwenzangu wa kushirikiana nae kwahio mjadala wa hio partnership umefungwa.Ahsanteni sana

Mkuu Biashara vipi? mnaendelaje ?
 
Biashara siku zote ni experience ya mfanya biashara huwez kujua biashara kwa kushauriwa tu Bali kwa mtu kua tayar mfanya biashara mfano mm nimesha poteza hela nying kwenye kutafuta ipi biashara itakayo nifaa nimesha fanya biashara kadhaa na nimesha pata hasara pia Ila nilicho Amin ili ufanikiwe katika biashara ingia kwanza kwenye biashara Apo utapoteza hela Ila MUDA unavyo zid kwenda utaanza kujua nn ufanye Kama ni biashara hio hio ilio nayo ama ingine Kama mm apa nimeangaika kwa muda nikitafuta biashara ya kufanya uku nafanya biashara huwez Amin biashara yangu imesha nionesha vitu Ving vya kufanya na vyrnye faida kubwa Sana nasubiri Corona iishe tu kwani
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana mkuu, wewe kweli umewahi kufanya biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungua min bekary

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…