Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdau mmoja akanishau ninunua ata bajaji 2 used zilizokuwa poa then niingize road, hii imekaaje?Kanunue sandles za kike na za kiume, vi open shoes vya kike, viatu vypepesi vya kile then mwaga mtaani kwako hauwezi lala njaa.
Tafuta sehemu watu wanapita sana, fungu mgahawa, uza na soup asubuhi, chips, kuku,
Fungu bucha sehemu aina bucha nyingi.
Iboreshe sasaBiashara ya duka pekee ndio niliyowahi fanya
Una milioni 9 tu mkuu?Kuna mdau mmoja akanishau ninunua ata bajaji 2 used zilizokuwa poa then niingize road, hii imekaaje?
Ningekushauri pia ufanye biashara ya kukopesha fedha kwa riba.Biashara ya duka pekee ndio niliyowahi fanya