Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 9?

Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 9?

Kanunue sandles za kike na za kiume, vi open shoes vya kike, viatu vypepesi vya kile then mwaga mtaani kwako hauwezi lala njaa.

Tafuta sehemu watu wanapita sana, fungu mgahawa, uza na soup asubuhi, chips, kuku,

Fungu bucha sehemu aina bucha nyingi.
 
Kuna mdau mmoja akanishau ninunua ata bajaji 2 used zilizokuwa poa then niingize road, hii imekaaje?
 
Swali lako ni gumu sana,jibu atakalopata humu litakuwa linaakisi mahitaji ya kiujumla.kwa mtaji huo jikite katika mahali ulipo au unapopajua vizuri kutambua fursa katika eneo husika.
 
Biashara ya duka pekee ndio niliyowahi fanya
Ningekushauri pia ufanye biashara ya kukopesha fedha kwa riba.

kopesha kwa wastani wa wiki 2, riba weka 30%.

mfano mtu akikopa laki 1, anapaswa kuleta 130,000 baada ya siku 14.

hakikisha mnaandikisha kwa mwenyekiti na unachukua dhamana (bondi) yenye thamani mara 2 mpaka 3 ya mkopo uliochukuliwa

Tenga hata milioni 2 tu izungushe kwenye mikopo, utapata faida ya milioni 1 kwa mwezi.

Hii biashara ni risk sana, japo ina faida NZITO MNO.

mwenzako nimeifanya ndani ya mwaka mmoja tu nimenunua kiwanja mjini kabisa.
 
Back
Top Bottom