Biashara gani naweza kufanya mazingira ya chuo..?

Nelson Mgalla

Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
38
Reaction score
13
Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila wana mawazo juu ya biashara na fursa mbalimbali ambazo ukifanya maeneo ya chuo basi italipa kiasi chake.
 
Kwa chuo changu stationary kila kona na bei nafuu sana. Na
Mm nipo off campus
 
Piga banda la nguo za mitumba /salaula au biashara ya bites, soft drinks na misosi..

Mobile money...
 
Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila wana mawazo juu ya biashara na fursa mbalimbali ambazo ukifanya maeneo ya chuo basi italipa kiasi chake.
Chuo kipo mkoa gani?
 
Back
Top Bottom