Nelson Mgalla
Member
- Dec 28, 2016
- 38
- 13
Maelezo kidogo juuu ya mobile money...?[emoji383] [emoji336]Piga banda la nguo za mitumba /salaula au biashara ya bites, soft drinks na misosi..
Mobile money...
Chuo kipo mkoa gani?Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila wana mawazo juu ya biashara na fursa mbalimbali ambazo ukifanya maeneo ya chuo basi italipa kiasi chake.
Heshima yenu wana JF..[emoji112]
Mimi ni mwanafunzi wa chuo naomba kufahamishwa biashara au fursa gani naweza kufanya yenye mtaji mdogo.
Naamini kuna wadau walisha soma na wengine wanasoma ila wana mawazo juu ya biashara na fursa mbalimbali ambazo ukifanya maeneo ya chuo basi italipa kiasi chake.
Nipo MorogoroChuo kipo mkoa gani?
Shukran[emoji120]Ingia hapa mkuu, panahusiana na unachohitaji kufahamu;
USHAURI: Biashara-ambazo-mwanafunzi-wa-chuo-kikuu-anaweza-kufanya-bila-kuathiri-masomo-yake.