Habari zenu? Poleni kwa majukumu ya siku nzima
Nakuja kwenu kuomba ushauri. Nahitaji kufanya biashara kwenye huu mji ninaoishi lakini October naenda kusoma mkoa mwingine na mimi bado sijakomaa ki vile katika biashara. Hivyo ninaomba mnishauri ni biashara gani naweza kuifanya kwa kipindi chote nikiwa masomoni? Iwe biashara ambayo nitaweza kuisimamia vizuri na si rahisi kuibiwa.