Biashara gani naweza kufanya nikiwa mkoa mwingine?

dedy

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
25
Reaction score
57
Habari zenu? Poleni kwa majukumu ya siku nzima

Nakuja kwenu kuomba ushauri. Nahitaji kufanya biashara kwenye huu mji ninaoishi lakini October naenda kusoma mkoa mwingine na mimi bado sijakomaa ki vile katika biashara. Hivyo ninaomba mnishauri ni biashara gani naweza kuifanya kwa kipindi chote nikiwa masomoni? Iwe biashara ambayo nitaweza kuisimamia vizuri na si rahisi kuibiwa.
 
mkuu unategemea utashauriwa kitu gani? angalia opportunities nini kinakosekana mahali ulipo then fanya utafiti ukiridhika anza taratibu fanya sawasawa na malengo yako wewe kama ww
 
Back
Top Bottom