Wafanyakazi wa ndani: wanyenyekevu, waweze uyaya, lugha mbili eng na swa, wasafi na wanaojitumaWakuu natumai wazima.
Naomba nilete hili mezan naomben mnishauri sister amenipa mkakati was kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajir amesema atanifund kila kitu. naomben mawazo yenu juu ya hili
Wauzieni sindano ili waanze mapema mazoezi ya kupenya katika matundu yake.Wakuu natumai wazima.
Naomba nilete hili mezan naomben mnishauri sister amenipa mkakati was kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajir amesema atanifund kila kitu. naomben mawazo yenu juu ya hili
Hahahaha mungu anakuonaWauzieni sindano ili waanze mapema mazoezi ya kupenya katika matundu yake.
Kufundisha hospitality na kingereza kwa wahudumu wa ndani na kuwafundisha Huduma Nora. Ikiambayana na ku recruit wafanyakazi. Kutengeneza gardens