Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahahahaa dah!Wauzieni sindano ili waanze mapema mazoezi ya kupenya katika matundu yake.
Ha ha ha duu mkuu umetishaWauzieni sindano ili waanze mapema mazoezi ya kupenya katika matundu yake.
Wakuu natumai wazima.
Naomba nilete hili mezan naomben mnishauri sister amenipa mkakati was kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajir amesema atanifund kila kitu. naomben mawazo yenu juu ya hili
Thanks bro Richie means a lot holla to youThink big.
Kwa kuwa umesema hilo eneo ni la "high class society", basi jenga super market yenye kujitosheleza kwa kila kitu mpaka maegesho ya magari nje.
Hivyo unahitaji eneo au jengo la kununua au la kukodi na unaligeuza kuwa super market.
Kama mradi utagharimu fedha nyingi basi unafungua Express super market yaani zaidi kidogo ya hiyo mini super market na bado unahakikisha una eneo la maegesho ya magari.
Ukishindwa hili basi jenga Car wash ya "grade one" ambayo inazingatia mazingira mazuri ya usafi, security na well being ya wateja kama vile kuosha kwa kutumia mvuke na kadhalika.
Pia unaweza kufungua salon ambayo ni unisex kwa ajili ya watoto wa kishua na mazee wao. Kwa hili inabidi uwe mtaalam wa kukata nywele za kiafrika, kizungu, kiarabu na kihindi.
Au unaweza kufungua sports centre kwa ajili ya mazoezi na michezo au gym ya kiwango cha katikati.
Lakini kama unayo fedha benki unaweza kufungua vyote hivi kwa pamoja na unatulia unavuta mkwanja.
Mkuu Richie nimekwenda kupaona no frame ambapo umo ndani kuna bar and restaurant and lodge pia kuna massage na saloon for women what do you have to sayThink big.
Kwa kuwa umesema hilo eneo ni la "high class society", basi jenga super market yenye kujitosheleza kwa kila kitu mpaka maegesho ya magari nje.
Hivyo unahitaji eneo au jengo la kununua au la kukodi na unaligeuza kuwa super market.
Kama mradi utagharimu fedha nyingi basi unafungua Express super market yaani zaidi kidogo ya hiyo mini super market na bado unahakikisha una eneo la maegesho ya magari.
Ukishindwa hili basi jenga Car wash ya "grade one" ambayo inazingatia mazingira mazuri ya usafi, security na well being ya wateja kama vile kuosha kwa kutumia mvuke na kadhalika.
Pia unaweza kufungua salon ambayo ni unisex kwa ajili ya watoto wa kishua na mazee wao. Kwa hili inabidi uwe mtaalam wa kukata nywele za kiafrika, kizungu, kiarabu na kihindi.
Au unaweza kufungua sports centre kwa ajili ya mazoezi na michezo au gym ya kiwango cha katikati.
Lakini kama unayo fedha benki unaweza kufungua vyote hivi kwa pamoja na unatulia unavuta mkwanja.
Thanks bro Richie means a lot holla to you
Mkuu Richie nimekwenda kupaona no frame ambapo umo ndani kuna bar and restaurant and lodge pia kuna massage na saloon for women what do you have to say
Swali zur lazma kwanza ujue matajr wenyewe wakoje hulka zaoMatajiri wa kitanzania, wahindi, waarabu, au wazungu