Biashara gani naweza kufungua sehemu wanayokaa matajiri?

Matajiri wa kitanzania, wahindi, waarabu, au wazungu
Mkuu eneo hili limezungukwa na washua wrote wazungu watz wahind wachache kuna hotel opposite mwa barabara ingawa pana umbali kesho nakwenda kupapitia hiv ntarudi hapa
 
Sambamba na vinyaji

Awe na kaukumbi kadogo kwa ajiri ya kuonyesha live matches.

Ni vyema akapata PROJECTOR yenye picha nzuli na aweke sound system nzuli.

Hapo lazima awakamate wateja.

CC xaidjr
Mkuu nimekuelwa sana thanks much
 
Kufundisha hospitality na kingereza kwa wahudumu wa ndani na kuwafundisha Huduma Nora. Ikiambayana na ku recruit wafanyakazi. Kutengeneza gardens
Dah hii ni good idea thanks much mkuu nitarudi hapa na majibu
 
Wakuu natumai wazima.
Naomba nilete hili mezan naomben mnishauri sister amenipa mkakati was kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajir amesema atanifund kila kitu. naomben mawazo yenu juu ya hili

Think big.

Kwa kuwa umesema hilo eneo ni la "high class society", basi jenga super market yenye kujitosheleza kwa kila kitu mpaka maegesho ya magari nje.

Hivyo unahitaji eneo au jengo la kununua au la kukodi na unaligeuza kuwa super market.

Kama mradi utagharimu fedha nyingi basi unafungua Express super market yaani zaidi kidogo ya hiyo mini super market na bado unahakikisha una eneo la maegesho ya magari.

Ukishindwa hili basi jenga Car wash ya "grade one" ambayo inazingatia mazingira mazuri ya usafi, security na well being ya wateja kama vile kuosha kwa kutumia mvuke na kadhalika.

Pia unaweza kufungua salon ambayo ni unisex kwa ajili ya watoto wa kishua na mazee wao. Kwa hili inabidi uwe mtaalam wa kukata nywele za kiafrika, kizungu, kiarabu na kihindi.

Au unaweza kufungua sports centre kwa ajili ya mazoezi na michezo au gym ya kiwango cha katikati.

Lakini kama unayo fedha benki unaweza kufungua vyote hivi kwa pamoja na unatulia unavuta mkwanja.
 
Thanks bro Richie means a lot holla to you
 
Mkuu Richie nimekwenda kupaona no frame ambapo umo ndani kuna bar and restaurant and lodge pia kuna massage na saloon for women what do you have to say
 
Kama utaamua kufungua min market au Super market nishtue nduguyo niwe nakuletea mayai safi ya kienyeji tuwalishe hao washua huku mimi na wewe tukipata mutual benefits
 
Mkuu Richie nimekwenda kupaona no frame ambapo umo ndani kuna bar and restaurant and lodge pia kuna massage na saloon for women what do you have to say

Basi fungua super market kubwa na anza na kuwaandaa suppliers wako mapema.

Maisha ni kupigana, jaribu.
 
Baby trainer, pot training, speech training na sleep coaching. Lazima uwe milionea
 
Njia nzur Taft kwanza pesa zao wanatumia sana kwenye nn hapo mtaan then ingia na mbinu za kupindua soko kijasriamali
Kama utabikir biashara yako mpya kuwa makin sana na soko
 
Swali zur lazma kwanza ujue matajr wenyewe wakoje hulka zao
Mostly ni waafrica wazung n wahind eneo limezungukwa na bar n restaurant massage therapy saloon and hotels with a gate
 
Back
Top Bottom