OK!Nataka nijiajiri mkuu
Mfano niko Mwanza, Mtaji M8 Elimu Degree nishauri CounselorOK!
Mm in success counselor,
Nitajie mtaji wa kifedha unaoweza kupata, elimu yako na mkoa uliopo!
Fungua minisuper market mkuu itakutoa kwa hayo maeneoWakuu natumai wazima,
Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri amesema atanifund kila kitu.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
8m na elimu yako uwiono upo! Safsana nikupe hongera kwanza!Mfano niko Mwanza, Mtaji M8 Elimu Degree nishauri Counselor
Ml 8 ndio mnataka kufungua biashara sehem za kishua au mnatania? Sehem za kishua kama sio matunda na car wash hyo hela ni ya kukarabat tu office8m na elimu yako uwiono upo! Safsana nikupe hongera kwanza!
Sasa chagua kufanya aina ya kaz
kati ya hizi mbili
1. Biashara ya kutumia akili nying ikisaidiwa na ujuzi wa degree yako mtaji wa kifedha kdogo, faida kubwa au
2. Biashara ya kutumia mtaji mkubwa wa kifedha akili kdogo na faida ndogo
Ila zote aina mbili hzo unajiajir mwenyewe bila kujir mtu in short run, labda kibarua tu!
Mkuu Nina diploma ya uhasibu niko arusha mtaji 10 million eneo liko sehemu ya mtahiri ila n kama place ambayo ina gate pia ndani kyna bar n restaurant n lodge kuna saloon na massage therapy so kuna only frame ambayo sio kubwa I want do something mini supermarket is not one of itOK!
Mm in success counselor,
Nitajie mtaji wa kifedha unaoweza kupata, elimu yako na mkoa uliopo!
NINAO WALIO PATA MAFUNZO BORA KABISA KUANZIA USAFI WAO ,NYUMBA,WATOTO,MAPISHI NK ILA SIJAPATA WANAO WAHOTAJI MKUUWafanyakazi wa ndani: wanyenyekevu, waweze uyaya, lugha mbili eng na swa, wasafi na wanaojituma
Piga picha mmoja kasimama jikoni anapika au anaweka chakula mezani, mwingine anacheza na mtoto akiwa na tabasamu mubashara na mwingine anafanya usafi, wavae nguo za heshima. Weka insta. Lakini chuja wateja wengine wana nia mbaya.NINAO WALIO PATA MAFUNZO BORA KABISA KUANZIA USAFI WAO ,NYUMBA,WATOTO,MAPISHI NK ILA SIJAPATA WANAO WAHOTAJI MKUU
Nyingi tu, kama Book Store, Bakery, Jewelry shop, Gym yenye sauna n.k., Flower shop, Cafe, Take away joint yenye burgers/fish/chicken/chips/pizza etc, Boutique n.k.Wakuu natumai wazima, Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri amesema atanifund kila kitu. Naombeni mawazo yenu juu ya hili.
Mkuu hawatangazwi kwa mtindo huo.ee sema unataka wa kazi za aina gani.Piga picha mmoja kasimama jikoni anapika au anaweka chakula mezani, mwingine anacheza na mtoto akiwa na tabasamu mubashara na mwingine anafanya usafi, wavae nguo za heshima. Weka insta. Lakini chuja wateja wengine wana nia mbaya.
Mini supermarketWakuu natumai wazima,
Naomba nilete hili mezani naombeni mnishauri sister amenipa mkakati wa kufikiria (business idea) itakayoweza kufanyika maeneo ya wanayoishi high classy people or matajiri amesema atanifund kila kitu.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.