Biashara gani ndogo inayoweza niingizia hata 10,000 kwa siku?

Biashara gani ndogo inayoweza niingizia hata 10,000 kwa siku?

Kopesha wafanyakaz wenzako kwa interest ya 20% lakin hakikisha wana security
 
Biasharay kuchoma mahindi ni biashara ambayo watu wanaidharau lakini ukichoma mahindi 100, unapata 30,000 bila chenga. Gharama ni ndogo tu na mtaji wake ni: (1) jiko =20,000
(2) mkaa =8,000 (3) mahindi 100=300-400@=30,000-40,000
(4) usafiri toka sokoni hadi unapochomea~2,000-5,000 kutegemeana na umbali na aina ya usafiri.
Jumla ya msingi ni: 20,000+8,000+40,000+5,000=73,000/=(each maximized).
Kwa hiyo ukiwa na 100,000 unafanya biashara ya kupata 30,000 na zaidi daily.
Huyu amesema ni mwajiriwa, hii biashara inamtaka awepo hapo kwa muda mrefu zaidi. Itamshinda sababu ya muda wake wa kuwepo pale ni mdogo

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Biashara za msimu ndo zinafaida kubwa, faida huweza kuvuka hata iyo elfu kumi. Mkuu chance is a chance no matter it's mwezi wa ramadhan au january pambana mkuu usigeuke nyuma.
Changamoto atakayo kutananayo huyu jamaa ni kufukuzia upepo wa kila msimu wa biashara wakati yeye ni mwajiriwa na muda mwingi huutumia alipoajiriwa

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom