Kwa nini msiwe mnasoma post mpaka mwiasho?Una mtaji kiasi gani?
Ili tuanzie halo kutoa ushauri
Huyu amesema ni mwajiriwa, hii biashara inamtaka awepo hapo kwa muda mrefu zaidi. Itamshinda sababu ya muda wake wa kuwepo pale ni mdogoBiasharay kuchoma mahindi ni biashara ambayo watu wanaidharau lakini ukichoma mahindi 100, unapata 30,000 bila chenga. Gharama ni ndogo tu na mtaji wake ni: (1) jiko =20,000
(2) mkaa =8,000 (3) mahindi 100=300-400@=30,000-40,000
(4) usafiri toka sokoni hadi unapochomea~2,000-5,000 kutegemeana na umbali na aina ya usafiri.
Jumla ya msingi ni: 20,000+8,000+40,000+5,000=73,000/=(each maximized).
Kwa hiyo ukiwa na 100,000 unafanya biashara ya kupata 30,000 na zaidi daily.
Changamoto atakayo kutananayo huyu jamaa ni kufukuzia upepo wa kila msimu wa biashara wakati yeye ni mwajiriwa na muda mwingi huutumia alipoajiriwaBiashara za msimu ndo zinafaida kubwa, faida huweza kuvuka hata iyo elfu kumi. Mkuu chance is a chance no matter it's mwezi wa ramadhan au january pambana mkuu usigeuke nyuma.