Biashara gani nikiwa bado nasoma?

duka la vipodozi umefunga tena?

mkuu kwanza nikushukuru
inaonesha wewe ni mdau wa kudumu:..hahahahahah...biashara ile ilikuwa kwa mda tu ili nipate pesa ya ada mkuu..hata hivyo ilinipa hasara that why nikabaki na kidogo
 
kila kitu kina nafasi yake mkuu
haina haja ya kujutia ,ni changamoto ndo zinazomfanya mtu afikirie mbinu mbadala
nimekupata hiyo ya viepe nitaifikiria zaidi
ahsante sana
 
unamaanisha kama biashara ya bodaboda vile yaani kama ni elfu 10 , ni kila siku ...haijalishi mauzo duni au yako over?

Ndio.. Kijana unampa uhuru wa kuuza kuku na mishkaki(kwa mtaji wake) ili asilaumu mauzo kutokuwa poa.. Vyako ni chips mayai.. Huku mabibo hostel watu wanakusanya 20000 tsh kwa siku.
 
Ndio.. Kijana unampa uhuru wa kuuza kuku na mishkaki(kwa mtaji wake) ili asilaumu mauzo kutokuwa poa.. Vyako ni chips mayai.. Huku mabibo hostel watu wanakusanya 20000 tsh kwa siku.

mkuu huo mfumo umetulia sana pia inapunguza kuibiana maana kijana atakuwa na gao lake kwa cku
ahsante sana mkuu
sasa ni kutafuta direction iliyotulia nipange mashambulizi!
 
mkuu huo mfumo umetulia sana pia inapunguza kuibiana maana kijana atakuwa na gao lake kwa cku
ahsante sana mkuu
sasa ni kutafuta direction iliyotulia nipange mashambulizi!

All the best mkuu. Usisahau kuleta feedback
 
Mambo vp mkuu, hivi kwa mtaji wa milioni moja unaweza kuzalisha faida kiasi gani kwa siku?
Tuchukulie uko kwenye eneo lenye watu wengi ambako kuna circulation kubwa ya pesa.
NB ; naomba mwongozo kwa wanaojua jinso biashara ya M-pesa inavyozalisha faida na hasara pia!
Asanteni wakuu
M-pesa itakufaa. Unaweza pia kuajiri kijana kukuzungushia matunda yaliyokatwakatwa na kuwekwa kwenye containers nzuri.
 
All the best mkuu. Usisahau kuleta feedback

panapo majaaliwa mkuu nitarud tena hapa! Shukrani kwa yote mkuu pamoja na wachangiaji wengine
Mungu awabariki sana
 
mkuu Excel umerudi kamanda wangu
karibu sana aisee!
 
Last edited by a moderator:
mkuu Excel umerudi kamanda wangu
karibu sana aisee!

Ahsante sana mkuu, niko busy sana na lecture mkuu wangu,

nimekabwa sana na vipindi ndugu, ntakuwa hewani muda si mrefu hivi kwa sababu mwezi wa saba ndio namaliza mwaka.

Vipi na wewe unaendeleaje na project hii hapa? Jioni njema mkuu!
 
Ha ha ha ha

Nilijua tuuu pole sana
 
hahahaaa!! niambie criminal... nimekumiss sana aisee,!!!

ebana shule si mchezo! unaweza kamatwa vipindi vitano! nakwambia hawa malekchara hawana mzaha!--

Miss you too best...

Nilisumbuliwa sana na miss neddy kuhusu uwepo wako...

Karibu sana unaweza nipata whatsapp kwa nr. Hii

+1 215 383 5221

Karibu sana jf bado naongoza zile harakati...
 
Last edited by a moderator:
wahi indian night club kuna fursa kibao siunajua wale jamaa wako lupango!
 
wahi indian night club kuna fursa kibao siunajua wale jamaa wako lupango!

mkuu INDIAN NIGHT CLUB ndo wapi hapo?
Na kuna fursa gan zilizopo pale?
Teh teh teh hata walio lupango siwajui kwa kweli
ahsante kiongozi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…