Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great! Mi enzi hizo za chuo ni kununua majeans na raba nyeupe tu. Najutia kipindi changu kile why sikuamka mapema ningekuwa mbali sana. Komaa na hizo nguo za kike (only) zitakutoa kwa mtaji huo. Ungekuwa na kama 2M ningekushauri utafute kasehemu hapo chuo uuze viepe yaani watoto wa chuo huwaambii kwenye hio kitu. Nimekaa Mabibo hostel (2005-2008) yaani kulikuwa na wagogo std 7 wanauza viepe pale wanapiga hela ndefu hadi dada zetu wakusoma wanashoboka....
unamaanisha kama biashara ya bodaboda vile yaani kama ni elfu 10 , ni kila siku ...haijalishi mauzo duni au yako over?
Ndio.. Kijana unampa uhuru wa kuuza kuku na mishkaki(kwa mtaji wake) ili asilaumu mauzo kutokuwa poa.. Vyako ni chips mayai.. Huku mabibo hostel watu wanakusanya 20000 tsh kwa siku.
mkuu huo mfumo umetulia sana pia inapunguza kuibiana maana kijana atakuwa na gao lake kwa cku
ahsante sana mkuu
sasa ni kutafuta direction iliyotulia nipange mashambulizi!
M-pesa itakufaa. Unaweza pia kuajiri kijana kukuzungushia matunda yaliyokatwakatwa na kuwekwa kwenye containers nzuri.
Mambo vp mkuu, hivi kwa mtaji wa milioni moja unaweza kuzalisha faida kiasi gani kwa siku?
Tuchukulie uko kwenye eneo lenye watu wengi ambako kuna circulation kubwa ya pesa.
NB ; naomba mwongozo kwa wanaojua jinso biashara ya M-pesa inavyozalisha faida na hasara pia!
Asanteni wakuu
mkuu Excel umerudi kamanda wangu
karibu sana aisee!
Ahsante sana mkuu, niko busy sana na lecture mkuu wangu,
nimekabwa sana na vipindi ndugu, ntakuwa hewani muda si mrefu hivi kwa sababu mwezi wa saba ndio namaliza mwaka.
Vipi na wewe unaendeleaje na project hii hapa? Jioni njema mkuu!
Ha ha ha ha
Nilijua tuuu pole sana
hahahaaa!! niambie criminal... nimekumiss sana aisee,!!!
ebana shule si mchezo! unaweza kamatwa vipindi vitano! nakwambia hawa malekchara hawana mzaha!--