Biashara gani nzuri na ina faida ya mtaji wa Tsh Milioni 1?

Biashara ya matoroli au kununua ng'ombe vijijini Na kuuza vingunguti
 
Biashara ya ng'ombe simshauri mtu yeyote. Labda kama ni msujuma sawa. Ila pia kwa mtaji huo ni bado ni mdogo sana
 
Kwanini humshauri biashara ya ng'ombe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…