Marcel 12
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 483
- 696
Jamani iyo mifuko mimi ninayo 30pc 0745866224
Unauza kiasi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani iyo mifuko mimi ninayo 30pc 0745866224
Mkuu mshana jr, nashindwa kukupata pmNitakukaribisha
Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubaiView attachment 2165051
wazo zuri naomb ni pm kakaTuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Habari kaka samahani nilikuwa naomba namba yako tuongee kidogo[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naomba uni pmNitakukaribisha