Inabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubaiView attachment 2165051
Braza itabid nikuchek aiseeeInabeba mzigo wa tani moja ama kilo 1000 maranyingi inakuja na material toka nje ya nchi kwenye viwanda mbalimbali, material ikishatumika mifuko inauzwa kwa wahitaji ambao ni huko mikoani kama Iringa na kwenye machimbo ya madini
Hapa Dar kuna viwanda pia vinainunua kwa matumizi yao na kule kariakoo kuna wanaoinunua na kutengeneza turubai
Tuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Anauzia wapi?Uza dawa za binadamu
Nimeku PMKaka nawezaje kuwasiliana na wewe tafadhali nashindwa kuku pm
Nashindwa kuki PM pia.Nimeku PM
Habari mkuu. Naweza kunufaika na biashara hii?Tuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Nitakupa connectionHabari mkuu. Naweza kunufaika na biashara hii?
Mtaji na ari ninavyo. Niko Dar Es salaam
Hii mifuko nadhani hata ukifutilia bwawa jipya la rufiji itapatikana ya kutoshaNitakupa connection
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hii mifuko nadhani hata ukifutilia bwawa jipya la rufiji itapatikana ya kutosha
Wanabebea udongo kutoka mbeya
Nasubiri mkuu.Nitakupa connection
[emoji1][emoji1][emoji1]Dahhhh....
Vijana mna vichwa vugumu sana.
Pamoja mkuu[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
GesiNina mtaji wa 1M nipo Kigamboni mitaa ya kwa Urasa. Biashara gani inaweza faa kwa mtaji huo.
Msaada wenu plz [emoji1545]
Dah Mkuu nipe connection nikuze Huu mtaji wangu mdogo..hali ni mbaya aiseeTuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Na Mimi naomba connection.Tuwasiliane niko Kibada kuna biashara ya mifuko ya Jafafa unanunua mmoja 5000 unauza 8000 wateja wapo kwa kutosha sana
Kaka naomba connection namimi mtaji ninaoNitakupa connection
Mzee mwenzangu, hebu nipe muongozo swaafi kwenye hili, hii mifuko naweza kukusanya toka wapi na nikauza haswa sehemu gani?Nitakupa connection
Kaka nashindwa kuku pmNitakupa connection
NitakukaribishaKaka nashindwa kuku pm