fikirijohnas
Member
- Nov 10, 2018
- 46
- 29
Hongera sana bonge la wazo mkuuSasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
Nashukuru sana mkuuWauzie pipi za vijiti, lolly pop. Watakupenda hao, tena watakuita Mwalimu Pipi.
Ahsante sana,nimekuelewa ndgNunua box la sabuni, kisha kata vipande vya 500 na wauzie walimu wenzio ama wanafunzi ikiwa shuleni ya boarding.
Trust me faida utaiona kwenye kila kibox haitopungukiwa 30,000
Nashukuru sana kwa wazo zuriKwanza inategemea ni shule ya aina gani, kama ni binafsi hapo kuna ugum kdg process zipo nyng ila kama ni ya serikali wauzie hata vyakula hv kama chapat, mandaz ambavo watakuwa wanagonga mda wa mapumzko hapo utaupiga kwa kiasi chake
Ahsante sana kiongoziSasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
Na sijajua mazingira uliopo, ila kama shule ina vijana wengi waliopanga mitaani, wauzie dagaa nyama.Nashukuru sana mkuu
Mtaji wako sh ngap ??Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Mtaji ni kuanzia laki tatu ndgMtaji wako sh ngap ??
Shuleni kwako kuna duka la shule?Mtaji ni kuanzia laki tatu ndg
Wapi nimesema mimi ni mwalimu,na hata ingekuwa hivyo shda iko wapi mkuu kama natimiza majukumu yangu?Mkuu unataka kufundisha au kufanya biashara…
Tuanzie hapa kwanza