Biashara gani nzuri shuleni?

Biashara gani nzuri shuleni?

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
46
Reaction score
29
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
 
Biashara nzuri nikuwapigisha Test wanafunzi kwenye masomo yako kila baada ya siku 3, na gharama ya test ni 3000tsh kwa kila kichwa kwa kusingizia ni gharama za uchapishwaji kama una wanafunzi 70 mara 3000 kisha mara mbili kwa wiki unajikuta unalaza laki 4 na Elfu 20 kwa wiki hilo ni darasa moja tu,kama unafundisha madarasa manne ina maana utapiga kama milioni moja laki sita na Elfu 80 kwa mwezi,sasa chukua tulaki tumoya mpe teacher mkuu abrashie viatu asijetia kitumbua mchanga,ni miaka 5 tu unaacha na kazi yenyewe ya ualimu utakuwa na kimtaji kisichopungua milioni 100[emoji28]kila lakheri mkuu
 
Nashukuru kwa ushauri wako ndg,ila naona hili la test hapana maana ni kinyume na taratibu za kazi,nitakuwa nawaibia watoto nami nataka iwe biashara isiyolalamikiwa kwa namna yoyote ile.
 
Kwanza inategemea ni shule ya aina gani, kama ni binafsi hapo kuna ugum kdg process zipo nyng ila kama ni ya serikali wauzie hata vyakula hv kama chapat, mandaz ambavo watakuwa wanagonga mda wa mapumzko hapo utaupiga kwa kiasi chake
 
Nunua box la sabuni, kisha kata vipande vya 500 na wauzie walimu wenzio ama wanafunzi ikiwa shuleni ya boarding.
Trust me faida utaiona kwenye kila kibox haitopungukiwa 30,000
 
Kwanza inategemea ni shule ya aina gani, kama ni binafsi hapo kuna ugum kdg process zipo nyng ila kama ni ya serikali wauzie hata vyakula hv kama chapat, mandaz ambavo watakuwa wanagonga mda wa mapumzko hapo utaupiga kwa kiasi chake
Nashukuru sana kwa wazo zuri
 
Nashukuru sana mkuu
Na sijajua mazingira uliopo, ila kama shule ina vijana wengi waliopanga mitaani, wauzie dagaa nyama.

Hata walimu wenzako pia watanunua sana tu, tena na hivi ajira mpya hizoooo zipo njiani najua walimu mabachelor watakuwepo.
 
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Mtaji wako sh ngap ??
 
Mkuu unataka kufundisha au kufanya biashara…
Tuanzie hapa kwanza
 
Back
Top Bottom