Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
πππππππππππSasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
Hapana mkuu,shule haina dukaShuleni kwako kuna duka la shule?
Hii ndio fursa kubwa kwako mkuu anza kuuza daftari, kalamu, penseli n.kHapana mkuu,shule haina duka
Sawa mkuu, ahsante sanaHii ndio fursa kubwa kwako mkuu anza kuuza daftari, kalamu, penseli n.k
watoto wanateseka sana kutafuta hivyo vitu mitaani
Jamani jfππSasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
aSasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
Hongera sanaMimi geto nnalaptop na printer ila nnaweza kulaza hadi 180,000/= kwa week nachofanya kwanza nnacontact na waalimu na wanachuo mbalimbali ahf huwa nawatolea kopy kwa bei pungufu tofauti na stationary na bei hupungua au kuongezeka kutokana na idadi ya pages yaani nalaza hela nzuri kuliko hata baadhi ya watu wenye stationary
Jiuze, utapata pesa ya haraka.Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Ni wazo zuri mkuu,naomba ufafanue zaidiFungua kiduka cha [emoji517] [emoji515] [emoji516]
Mkuu, unatoa copy kwa Sh. ngapi?Mimi geto nnalaptop na printer ila nnaweza kulaza hadi 180,000/= kwa week nachofanya kwanza nnacontact na waalimu na wanachuo mbalimbali ahf huwa nawatolea kopy kwa bei pungufu tofauti na stationary na bei hupungua au kuongezeka kutokana na idadi ya pages yaani nalaza hela nzuri kuliko hata baadhi ya watu wenye stationary
Kuna pipi siku hizi zipo kama chocolate zinauzwa sh 100, kuna vichocolate vya mia au mia 200, kuna snacks, vibuskuti vya kopo vile vi cookies unawauzia kimoja kwa mia sijui 200, vijuice vya u fresh unavigandisha kwenye friza,cake na vikorokoro vya stationary pencil zile unique, pen zile nzuri, diary zile za kitoto toto, vidaftari , yani kiduka kiwe na vitu vya kipekee Kama ni pipi ziwe za kitofauti na maduka ya mangiNi wazo zuri mkuu,naomba ufafanue zaidi
Inategemea na mahali shule iliko shule iko wapi?? Hapa dsm auWapi nimesema mimi ni mwalimu,na hata ingekuwa hivyo shda iko wapi mkuu kama natimiza majukumu yangu?
Kama ni maeneo ya mjini, nunua freezer la kioo alafu jilink na sales man wa azam ice creams , yoghurts na bites , biscuits kama utaweza uwe na mchoma mishikaki wako na ndizi tu.Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Nashukuru sana mkuu, nimekuelewaKama ni maeneo ya mjini, nunua freezer la kioo alafu jilink na sales man wa azam ice creams , yoghurts na bites , biscuits kama utaweza uwe na mchoma mishikaki wako na ndizi tu.
Nakuhakikishia hutabaki ulivyo hapo jipange na million 3 - 4 mpaka mradi ukamilike maana lazima uweke na vivutio kama flat screen , mziki na upige rangi eneo lako viti ,meza na wafanyakazi 2-3
Hapana niko mikoani ndg yanguInategemea na mahali shule iliko shule iko wapi?? Hapa dsm au