Biashara gani nzuri shuleni?

Biashara gani nzuri shuleni?

hahaha watu mnachekesha huku mnakera aisee... vijora vinakujaje shuleni, Zis iz jeifuu stress free
Sasa kama hutaki kuwauzia vitu vya kula kula unataka uwauzie nini?
Haya wapelekee vijora
a
 
Mimi geto nnalaptop na printer ila nnaweza kulaza hadi 180,000/= kwa week nachofanya kwanza nnacontact na waalimu na wanachuo mbalimbali ahf huwa nawatolea kopy kwa bei pungufu tofauti na stationary na bei hupungua au kuongezeka kutokana na idadi ya pages yaani nalaza hela nzuri kuliko hata baadhi ya watu wenye stationary
Hongera sana
 
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Jiuze, utapata pesa ya haraka.
 
Mimi geto nnalaptop na printer ila nnaweza kulaza hadi 180,000/= kwa week nachofanya kwanza nnacontact na waalimu na wanachuo mbalimbali ahf huwa nawatolea kopy kwa bei pungufu tofauti na stationary na bei hupungua au kuongezeka kutokana na idadi ya pages yaani nalaza hela nzuri kuliko hata baadhi ya watu wenye stationary
Mkuu, unatoa copy kwa Sh. ngapi?
 
Ni wazo zuri mkuu,naomba ufafanue zaidi
Kuna pipi siku hizi zipo kama chocolate zinauzwa sh 100, kuna vichocolate vya mia au mia 200, kuna snacks, vibuskuti vya kopo vile vi cookies unawauzia kimoja kwa mia sijui 200, vijuice vya u fresh unavigandisha kwenye friza,cake na vikorokoro vya stationary pencil zile unique, pen zile nzuri, diary zile za kitoto toto, vidaftari , yani kiduka kiwe na vitu vya kipekee Kama ni pipi ziwe za kitofauti na maduka ya mangi
 
Habari za humu ndani! mimi mtumishi katika shule x.napenda kuwa na kipato cha ziada nje ya mshahara,naomba ushauri wa aina nzuri ya biashara katika mazingira ya shule itakayonipa kipato cha ziada bila kuathiri ratiba yangu ya kazi.Naomba isiwe biashara ya ubuyu na barafu maana hizo zimezoeleka saana,Asanteni.
Kama ni maeneo ya mjini, nunua freezer la kioo alafu jilink na sales man wa azam ice creams , yoghurts na bites , biscuits kama utaweza uwe na mchoma mishikaki wako na ndizi tu.
Nakuhakikishia hutabaki ulivyo hapo jipange na million 3 - 4 mpaka mradi ukamilike maana lazima uweke na vivutio kama flat screen , mziki na upige rangi eneo lako viti ,meza na wafanyakazi 2-3
 
Nashukuru sana mkuu, nimekuelewa
 
Back
Top Bottom