Biashara gani tufanye

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Samahani wana jamvi mm ni kijana nimetengeneza group langu la watu kama 40 na katka watu hao tunechanga sh 200000 kila mmoja jumla tuna taklim 8000000 katka cash asset yetu so tunataka tufanye biashara na bhado hatujajuwa tufanye biashara gani plz kwa wale woote wenye uzoefu wa mambo ya biashara plz naomba mtu shaur tufanye biashara gani inayoweza kutulipa cc we are forming like a group for business guyz plz naombeni msaada wenu

Asanteni sana...
 
Kwa nini msichangachange mfikishe hata 50m? watu arubaini mpo wengi ili biashara mtakayo ianza iwe inalipa na mgao uweze kuonekana.
 
mnaweza kufanya biashara ya kilimo au ufugaji wa kuku wa mayai, chotara na kufuga kiti moto kama dini inaruhusu. pia mnaweza mkafungua na kusajili saccos na kuitumia kuombea mikopo kwenye taasisi mbalimbali za kifedha.
 
Kwa hyo mkuu kwa capital ya milion nane tunaweza tukaanzsha saccos yetu wenyewe then tukaitumia hyo kuombea mkopo kwenye taasisi za kifedha?
 
Kwa nini msichangachange mfikishe hata 50m? watu arubaini mpo wengi ili biashara mtakayo ianza iwe inalipa na mgao uweze kuonekana.

Asante sana mkuu kwa ushaur bahati mbaya wanagroup wengi hawana kazi xo no ngumu kuipata hyo 50M brooo
 
Kwa nini msichangachange mfikishe hata 50m? watu arubaini mpo wengi ili biashara mtakayo ianza iwe inalipa na mgao uweze kuonekana.

Labda mkuu kwa hyo 8M ingefaa tuwe wangapi?
 
Kwani mlipokua mnachanga hizo fedha mlikua na lengo la kufanyia biashara gani?
 
Kwani mlipokua mnachanga hizo fedha mlikua na lengo la kufanyia biashara gani?

Kama huna ushauri kaa kimya, wewe unaanza kuhoji tena?? Kama angekuwa ame plan asingekuja kuomba ushauri hapa, kitimoto wewe,
 
Kama huna ushauri kaa kimya, wewe unaanza kuhoji tena?? Kama angekuwa ame plan asingekuja kuomba ushauri hapa, kitimoto wewe,
Lazima uhoji kwa sababu kabla hawajachanga hizo hela lazima walikua na mipango.Kitimoto ni baba ako na mama ako kwa maana nyingine vitimoto ni wazazi waliokuzaa.
 
Asante sana mkuu kwa ushaur bahati mbaya wanagroup wengi hawana kazi xo no ngumu kuipata hyo 50M brooo

Poleni sana, mimi nawashauri msajili cooperative group au self help group. Kisha mtengeneze proposal ambayo hiyo 8m ndio itakua contribution yenu. Miradi mizuri ya kikundi kama cha kwenu na ambayo ni rahisi kupata misaada ni ya kilimo cha kisasa, ufugaji, uzoaji taka na ufiatuaji matofali

Nawatakieni vyema na mkumbuke biashara bila daftari huisha bila habari.
 
Kama huna ushauri kaa kimya, wewe unaanza kuhoji tena?? Kama angekuwa ame plan asingekuja kuomba ushauri hapa, kitimoto wewe,

Kuhoji kwa ABEL DON ni jambo la msingi pia..Ili uweze kumsaidia mtu vizuri sio mbaya ukafahamu wazo la mtu huyo la awali..Lazima kuna jambo liliwafanya vijana 40 waamue kuchangishana 200,000/- kila mmoja...kulijua jambo hilo sio dhambi. wacha kutukana watu, huo ni ustaarabu wa kariakoo sokoni mpwa.
 
Nashukuru brooo kwa ushaur wako
 
Kwa hyo mkuu kwa capital ya milion nane tunaweza tukaanzsha saccos yetu wenyewe then tukaitumia hyo kuombea mkopo kwenye taasisi za kifedha?

ndio mnaweza tena si kazi wala garama sana. kwa iyo isajilini hiyo saccos na kufungua baadh ya miradi niliyoitaja awali kisha mnaweza kuandika business proposal na kisha mkaenda kwenye taasisi mbalimbali za kifedha kuomba mkopo au wa aina yoyote ile. kila laheri wakuu.
 
Umejieleza vizuuuri lkn hapo mwisho kingreza ndo ulipo tibua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…