Biashara gani tufanye

Biashara gani tufanye

Lazima uhoji kwa sababu kabla hawajachanga hizo hela lazima walikua na mipango.Kitimoto ni baba ako na mama ako kwa maana nyingine vitimoto ni wazazi waliokuzaa.

Kosa la wazazi wake ni lipi hata uwatukane. Deal na aliyekutukana na sio wazazi. Tujifunze kuwaheshimu na kuwaenzi wazazi wetu.
 
Back
Top Bottom