Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 560
- 756
Biashara Gani Unaweza Kuanza na Milioni 1 au Chini Ikakulipa kwa Kudumu Tanzania?
Katika hali ya sasa ambapo ajira zimekuwa adimu na mfumuko wa bei unaendelea kukua, vijana wengi wanatafuta njia mbadala za kujikimu kupitia biashara .Swali linalojitokeza ni hili:
Kwa mtu wa kawaida ili kuendeleza mzunguko wa kifedha, ni biashara ipi anaweza kuanzisha kwa mtaji wa Tsh 1,000,000 au chini, ambayo inaweza kuleta faida ya kudumu?
Je, umewahi kujaribu biashara ndogo kwa mtaji huo?
Ilifanikiwa au ilikwama?
Ni changamoto gani ulizokutana nazo na ulizitatua vipi?
Tuchangie uzoefu, maarifa, na ushauri kwa pamoja – huenda tukasaidia mtu mahali fulani kupata dira ya maendeleo ya taifa. Pia niliwaza duka la kuhusu accesories za magari lakni naombeni ushauri wenu kwa biashara inayoweza ku survive apo