Maumabiseko
New Member
- Aug 13, 2025
- 3
- 1
Biashara na Fursa
Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?
Biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji wa Laki 3 kwa mwaka 2025?
IMEISHA IO, KUNA MDA KUKU....ATAWAMBIA WAMEISHA KAMA ATAPATA location NZURI (KUKU WA KUKAANGA NDIO MBOGA KUU DAR KWA SASA, SIJUI HUKO MIKOANI)Uza kuku wa kukaanga muhimu location na usafi