Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

Hakuhitaji Umafia kwenye kodi uchawi upo kwenye thamani ya jengo. Watu wanaita valuers kabla hawajaingia mjengo au kiwanja. Akidhania anaenda bank moja moja na valuation kuomba mkopo wa kufanya mambo yake.
Mikopo ya bank na biashara wengi wameuziwa sana nyumba zao maana biashara nyingi ni pasua kichwa,ni nyepesi kwenye makaratasi
 
Hiyo pesa inafaa uwekeze Baharini ndani ya mwaka utapata faida kubwa.

Hapo inabidi twende cyprus au ugiriki ununue meli(Land Craft) za kubeba angalau tani 100. Kule zilizotumika unapata kwa 350 mpaka 400million. Zikija moja kwa unafanya biashara ya kubeba mizigo ya Dar Comoro au Dar kwenda Madagascar.

Au jenga boti 2 za uvuvi za 250m, kisha tafuta eneo jenga cold room moja na sehemu ya kukaushia samaki kwa umeme au gesi na jua. Pesa nyingine inayobaki nunua Fuso au Scania 94D yenye body ya refrigerator. Mutukula Uganda, Rwanda na Burundi gari ikifika mzigo unachukuliwa na kugeuza.

Samaki na dagaa wa kukaushwa wakongo watakufata wenyewe uwafungie mzigo
 
1. Sales and Marketing Agency.

Hapa wala huitaji kuanza na huo mtaji. Muhimu uwe na wafanyakazi wenye weledi mkubwa utakuwa vizuri. Kumbuka digital marketing ni uwanja mkubwa kwahiyo utapata wateja wa huduma unatoka sehemu yoyote ile hapa duniani.

Tsz300,000,000 kwa mwaka ni $10,000 kwa mwezi.

Inaweza onekana pesa nyinigi kila mwezi ila ukijua unachofanya na unaoperate kama agency unapata hii pesa.

2. Kampuni ya ulinzi.

Najua moja hapa A town inatengeneza half a million bucks $$ a year. Swali utaweza stress zakuendesha business?

3. Kampuni ya ujenzi.

Tafuta vijana wanaofahamu vizuri ujenzi, sajili kampuni, anza kutafuta deals. Real estate industry is booming in Tanzania changamkia fursa hiyo $10,000 kwa mwezi inawezekana sana tu.

4. Biashara ya kuuza nafaka nje ya nchi au ukipata tenda za kusupply chakula kwenye miradi mikubwa inayojengwa hapa nchini.

Kwa huo mtaji unaweza anzisha hii business ni big money. Fanya uchunguzi, fuata taratibu zinazotakiwa utakuwa vizuri.

5. Vijafaa vya ujenzi kutoka China.

Inaweza kuwa na faida kubwa hii kwa huo mtaji lakini sifahamu sana hapa. Kuna mgeni mwekezaji hapa Arusha anafanya hii business kwahiyo naamini hapa kuna faida kubwa.
 
Mikopo ya bank na biashara wengi wameuziwa sana nyumba zao maana biashara nyingi ni pasua kichwa,ni nyepesi kwenye makaratasi
Mikopo ya bank ndo mizuri unachotakiwa ni kujenga credit score na kuikuza Portfolio ya real estate. Wanaouziwa nyumba wanaweka tamaa na hawaweki kipaumbele cha kujenga reputation/jina kwenye Biashara. Ukiwa na Portfolio nzuri bank zinanunua mikopo. Na hizi bank zitakusumbua kabla hata haujaenda kukopa.Lets say nimekopa bank A nikajenga godown kibaha. Katika pilika pilika zangu bank B inaniambia nja uwezo wa kukopesheka kwa estate yangu lakini sijachukuwa nao mkopo. Kipindi Bank A naona malipo yatakuwa magumu naongea na Bank B then wanafanya utaratibu ule mkopo uhamie Bank B.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…