1. Sales and Marketing Agency.
Hapa wala huitaji kuanza na huo mtaji. Muhimu uwe na wafanyakazi wenye weledi mkubwa utakuwa vizuri. Kumbuka digital marketing ni uwanja mkubwa kwahiyo utapata wateja wa huduma unatoka sehemu yoyote ile hapa duniani.
Tsz300,000,000 kwa mwaka ni $10,000 kwa mwezi.
Inaweza onekana pesa nyinigi kila mwezi ila ukijua unachofanya na unaoperate kama agency unapata hii pesa.
2. Kampuni ya ulinzi.
Najua moja hapa A town inatengeneza half a million bucks $$ a year. Swali utaweza stress zakuendesha business?
3. Kampuni ya ujenzi.
Tafuta vijana wanaofahamu vizuri ujenzi, sajili kampuni, anza kutafuta deals. Real estate industry is booming in Tanzania changamkia fursa hiyo $10,000 kwa mwezi inawezekana sana tu.
4. Biashara ya kuuza nafaka nje ya nchi au ukipata tenda za kusupply chakula kwenye miradi mikubwa inayojengwa hapa nchini.
Kwa huo mtaji unaweza anzisha hii business ni big money. Fanya uchunguzi, fuata taratibu zinazotakiwa utakuwa vizuri.
5. Vijafaa vya ujenzi kutoka China.
Inaweza kuwa na faida kubwa hii kwa huo mtaji lakini sifahamu sana hapa. Kuna mgeni mwekezaji hapa Arusha anafanya hii business kwahiyo naamini hapa kuna faida kubwa.