Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tueleze kwanza mkuu umejifunza nini na Sisi tujifunze😶😶Uzi unafundisha sana huu
Dawa za hospitali za binadamu.Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?
Kama una bilioni jenga mjengo wa milioni 700 Ukimaliza utumie kuchukua mkopo bank jenga tena ukimaliza tumia mjengo wa pili kuchukua mkopo endelea hivyo hivyo.Je, ni biashara gani unayo weza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?