Biashara gani ya haraka nifanye niwe billionea?

Hahahahaha
Huku newala kuna jamaa ana umua pesa, ukija na 10k anaiumua inakuwa 100k kwa 1M ukija na 15M anakupa 150M Mfumo ndio huo ila tu usikosee mashart kama wataka ubilionea njoo newala utamkuta.
 
Nenda migodini
Ukitoboa umetoboa ila kutobolewa ni Dakika tu
 
Kabla ya kutoa ideas yeye anataka kuwa Kama Diamond na Vunjabei wote hao ni millionaires in terms of USA dollars (hawazidi hata $3m)Ili uwe Kama Diamond na huyo mwenzake uza hata mchele,matango,mchcha,l,miliki dalala au bajaji nyingi nk🏃🏃🏃🏃🏃
 
Nahitaji kuwa billionea kwa haraka sana kama Vunja Bei, Diamond Plantumz.

Ideas gani nzuri ya biashara kama nikija nayo nitafanikiwa kwa haraka sana.
nenda zimbabwe ukauze vidole
 
Kuwa Bilionea sio hitaji la Binadamu kabisa.
Hitaji la Binadamu ni kupata mahitaji ya Kimwili na Kiulinzi yaani Physiologically na Safety au Security Needs.

Tukikuuliza inataka kuwa Bilionea ili iwe nini ?
Nadhani huwezi kujibu kwa haraka haraka.

Kuwa Bilionea ni zaidi ya kuwa Tajiri, unaweza kuwa na kipato cha kawaida tu na ukawa Tajiri kamili kabisa.

Kumbuka kuna Pesa kama rafiki wa kweli na kuna Pesa kama Adui wa kweli.
Kabla ya kutaka pesa nyingi lazima ujielewe kuwa unataka pesa iwe kama nani kwako ?
Ambacho hakina mbadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…