Biashara gani ya haraka nifanye niwe billionea?

Biashara gani ya haraka nifanye niwe billionea?

Unajua kwa wenzetu nchi za watu kuna maduli mengi. Watu wangiza pesa kwa vitu vya kipuuxi
1. Kuuza kucha
2. Kuuza Ushuzi
3. Kuuza Nywele
4. Kuuza sperms tena kuna sperm banks
5. Kushiriki Experimental works hasa za scientist
6. Kufanya stunt works
7. Jiunge na Stripping like stripping clubs
8. Sell organs like kidneys
9. Eating competitions
10. There was this show on television people were paid by eating nasty bad stuff like experied milk or bad bread


Etc
Just saying ukitaka hela hamia nchi za wenzetu perhaps unaweza kuelekea kwenye ubilionea
Lol
 
Fungua danguro , tafuta pisi Kali weka humo kwenye website anaza hosting utatoboa , ingine kafara watoe watu kafara utapata hela za haraka .

Ingine mazao
Hiyo biashara ya danguro bila shaka inalipa, naomba ufafanuzi zaidi
 
Kachukue mabinti kijijini, walishe kwa miezi miwili kisha anza kuwadangisha (kuwauza kwa wanaume). Utapiga hela mpk uzikimbie.
 
Sukuma ma biashara haramu ni chaap kwa haraka unatoboa.
 
Jifunze mazingaombwe hafu fungua kanisa, kiulaniiii unakuwa milionea tena hata serikali haikugusi ndo kwanza watu wa serkalini watakuwa miongoni wa waumini wako.
 
Kuna mtu humu anaitwa.
Mzizimkavu.
Mwone atakupatia Jini linalogawa hela nyingi sana.
Na kwa haraka sana.
 
Siri ya utajiri ni kusolve issues zinazosumbua watu (kutatua matatizo ya watu), kama uko bongo au popote ulipo tafuta tatizo gani watu linawasumbua sana watu then litafutie solution, ukiweza haitachukua muda kuwa billionaire
 
Kachukue mabinti kijijini, walishe kwa miezi miwili kisha anza kuwadangisha (kuwauza kwa wanaume). Utapiga hela mpk uzikimbie.
Ni kweli hakuna biashara inalipa kama umalaya na madawa, 99% ya wanaume wakipata pesa hizo bidhaa zinakuwa muhimu sana, lakini kupiga pesa za matajiri wa ukweli sophisticated network itahitajika kitu ambacho sio cheap
 
Huku newala kuna jamaa ana umua pesa, ukija na 10k anaiumua inakuwa 100k kwa 1M ukija na 15M anakupa 150M Mfumo ndio huo ila tu usikosee mashart kama wataka ubilionea njoo newala utamkuta.
 
Kazi kwako
1675772747213.jpg
 
Njia rahisi ya kua tajiri Ni hizi:

* Wizi
Hapa inatakiwa utumie akili Sana mfano kama upo kitengo flani serikalini au kampuni binafsi unaweza kupiga pesa za mradi ili mradi tu usishtukiwe ( lazima uhusishe na wengine)

* Utapeli
Kama una muda m-google jamaa Anaitwa hushpuppy yule mnaijeria hatari au gugo kuhusu Yahoo boys na mishe zao za utapeli wa mitando ukifanikiwa utakua umetusua fasta tu!

* Biashara haramu
Mfano kuuza dawa za kulevya Kama bangi na mirungi (unahitaji connection vinginevyo utaishia nyuma ya nondo)

* Kwepa kulipa Kodi
Unaweza kupiga dili za magendo Kama umewahi kuishi mipakani utaelewa kirahisi hii michakato
Na mengine mengi
Achaeni kushauriana upuuzi nyie
 
Back
Top Bottom