B bennyb Member Joined May 8, 2014 Posts 31 Reaction score 4 Aug 19, 2014 #1 Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa milioni moja
saritha Member Joined Oct 25, 2012 Posts 71 Reaction score 19 Aug 20, 2014 #2 yoyote unayohisi unaipenda na utaiweza na ina soko kwa mahali unapotaka kuifanya...
T.boy Member Joined Oct 10, 2012 Posts 15 Reaction score 2 Aug 21, 2014 #3 bennyb said: Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa milioni moja Unaweza kabisaa kufungua jiko kwaajili ya kuuza supu mtori nyama choma na chakula km chips nk ktk bar na kujiingizia faida lukuki Click to expand...
bennyb said: Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa milioni moja Unaweza kabisaa kufungua jiko kwaajili ya kuuza supu mtori nyama choma na chakula km chips nk ktk bar na kujiingizia faida lukuki Click to expand...