Biashara gani

Biashara gani

yoyote unayohisi unaipenda na utaiweza na ina soko kwa mahali unapotaka kuifanya...
 
Naweza fanya biashara gani kwa mtaji wa milioni moja
Unaweza kabisaa kufungua jiko kwaajili ya kuuza supu mtori nyama choma na chakula km chips nk ktk bar na kujiingizia faida lukuki
 
Back
Top Bottom