Biashara haina dini

Chamsingi pesa...ila nguruqe anaonewa sana sijui aliwakosea nini watu wa dini ile.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwaiyo kuvaa kanzu ni kigezo Cha Mtu kuitwa Muislam?
Mbona Askofu Mwamakula Anavaaga ? Na baragashia.

Ile yake niya uaskofu hazifanani na wanazovaa ma samaleku
 
Hii kiboko.

Kuna jamaa alikuwa anaogelea,kumbe mle kwenye dimbwi kuna "kiboko"sasa wale watizamaji wakamwona hiyo kiboko wakawa wanamuambia yule muogeleaji wee kibokooo weee kibokooo!!!jamaa nae kwa sifa akaona anasifiwa kumbe wana mualati kuwa kuna kiboko mle kwenye maji atoke,sasa tule jamaa kwa sifa akaendelea kupiga mbizi hatimae akauliwa...
Umenielewa lakini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…